TAARIFA MPYA

Madhara ya Chai na Kahawa Kiafya

Picha
CAFFEINA/KAFEINA. Kafeina ni nini?: 1. Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’. Utashangaa. Habari ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina. Kafeina ni kiungo mhimu karibu katika soda zote zenye rangi nyeusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola na kadharika. Kafeina huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini. Kwahiyo Kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya. 2. Kafeina ni kikojoshi (diuretics). Kafeina ni dawa ya kukufanya ukojowe. Ukinywa kikombe kimoja cha kinywaji chenye kafeina yaani chai au kahawa, basi muda si mrefu utaenda kukojoa vikombe viwili. Kwa sababu kafeina ni taka isiyotakiwa mwilini, mwili utafanya kila uwezalo ikibidi ujikamuwe wenyewe kupata maji ya ziada kuweza kuitoa kafeina hii uliyoinywa kwa kisingizio ch...

Sahau kuhusu matokeo lakini haya unapaswa kuyajua baada ya El Clasico ya leo


Lioneil Mesai alifunga bao lililomfanya kufikisha mabao 25 katika El Clasico na hilo likiwa bao lake la 50 mwaka huu, Messi anakuwa amefunga mabao 50 kwa miaka 6 kuanzia 2010 akiwa ameacha 2013 tu.

Mchezo huu uliisha kwa sare ya bila kufungana katika kipindi cha kwanza na hii ikiwa mara ya kwanza kwa Barca kushindwa kufunga bao la katika kipindi cha kwanza Santiago Bernabeu tangu April 2011 katika La Liga.

Goli la kwanza la Barcelona lilifungwa na Luis Suarez likiwa ni bao lake la 5 katika El Clasico 7 alizocheza na huku Real Madrid wakishindwa kuweka clean sheet katika michezo ya El Clasico 7 iliyopita.

Lioneil Messi alimpoteza Cristiano Ronaldo hii leo kwani ukiachana na bao alilofunga lakini alikamilisha pasi 50/57,akitengeneza chance 9 na mashuti 3 on target, huku CR7 akikamilisha pasi 22/27,akitengeneza chance 1 na shuti 1 on target.

Bao la 3 la Barcelona lilifungwa na Alex Vidal dakika ya mwisho na kuifanya Barcelona kwa mara ya kwanza katika historia kushinda michezo 3 mfululizo ya El Clasico ugenini na hii ikiwa mechi ya 88.

Kwa mabao 2 ya leo yanaifanya Barcelona kumaliza mwaka na  mabao 120 huku 39 wakifunga katika La Liga pekee na hii inawafanya kuwa timu inayoenda kumaliza mwaka na mabao mengi zaidi wakifuatiwa na PSG (103).

Maoni

ZILIZO SOMWA MARA NYINGI

ULAJI WA MARA KWA MARA WA MBEGU ZA MABOGA HUKUKINGA NA KUKUEPUSHA NA MAGONJWA 1O MWILINI MWAKO...

Dalili 6 zitakazokuonyesha kuwa mwenzi wako ana mtu mwingine katika mahusiano

FAIDA YA JUICE YA KAROTI KATIKA MWILI WA BINADAM

DAWA BORA YA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO

AINA ZA MBOLEA & MATUMIZI YAKE KITAALAM

Madhara ya Chai na Kahawa Kiafya

Fahamu Aina 7 Za Juisi Zenye Kuondoa Sumu Mwilini

Ugonjwa wa Chango La Uzazi

Madhara Ya Kuangalia Video za Porno {Ngono} na Namna ya Kujizuia

Athari za kiafya za vyakula vyenye Wanga