TAARIFA MPYA
Ugonjwa wa Chango La Uzazi
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.
DALILI ZAKE
Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.
Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.
Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-
Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
Kupata uvimbe kwenye kizazi
Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
Madhara yake kwa mwanamke
Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
Kuingia na kutoka kwa mimba
Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
Kuwa na uke mdogo sana
Madhara kwa Mwanaume
Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba
Kiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mno
Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
Kusimama na kusinyaa kwa uume
Tiba ya Chango la Uzazi
Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.
Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.
Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.
Matumizi yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake.
Huchanganywa na viungo vya uzazi vya wanyama, ambavyo kazi yake ni kuondoa matatizo yaliyopo, kwenye kizazi cha manamke/mwanaume.
Wengi wana amini kuwa dawa za miti shamba hazina uwezo wa kutibu haya ni mawazo potofu, miti shamba ndiyo suluhisho la kila tatizo katika afya zetu.Mimi mwenyewe ni shuhuda nimelelewa katika miti shamba, ukipewa dawa ya mitishamba haijakusaidia ufahamu kuwa kiwango cha Dr/Mganga huyo hakijakomaa.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni
TAFADHARI !!
- Tumia Lugha Nzuri Kutoa Maoni
Usitumie kauli za Karaha AU Zenye Kukela :
C.E.O
Gneous OG