TAARIFA MPYA

Madhara ya Chai na Kahawa Kiafya

Picha
CAFFEINA/KAFEINA. Kafeina ni nini?: 1. Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’. Utashangaa. Habari ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina. Kafeina ni kiungo mhimu karibu katika soda zote zenye rangi nyeusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola na kadharika. Kafeina huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini. Kwahiyo Kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya. 2. Kafeina ni kikojoshi (diuretics). Kafeina ni dawa ya kukufanya ukojowe. Ukinywa kikombe kimoja cha kinywaji chenye kafeina yaani chai au kahawa, basi muda si mrefu utaenda kukojoa vikombe viwili. Kwa sababu kafeina ni taka isiyotakiwa mwilini, mwili utafanya kila uwezalo ikibidi ujikamuwe wenyewe kupata maji ya ziada kuweza kuitoa kafeina hii uliyoinywa kwa kisingizio ch...

NAFASI YA MBOWE YAZUNGUMZIWA


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amefunguka na kusema wao CCM hawajawahi kuzungumzia juu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kushikilia nafasi hiyo kwa muda mrefu bila kufanya mabadiliko.

Polepole amesema hayo wakati akimjibu moja ya mwananchi ambaye alitaka kufahamu kuwa ni kwanini Wanachama wa CCM wao ndiyo wamekuwa wakipiga sana kelele juu ya nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, ndipo hapo alipofunguka na kusema hawajawahi kuzungumzia hilo na kwa kuwa hakuna mwengine ambaye wanaona anafaa basi aendelee Mbowe kwa miaka 100.

"Msemaji wa CCM ni mimi na hatujawahi kutoa kauli hiyo, huyo Mwenyekiti maadamu hakuna mwingine anayefaa kuliko yeye aendelee tu miaka 100" aliandika Polepole

Mbali na hilo Polepole ameulalamikia upinzani wa Tanzania kwa sasa na kusema umekuwa wa kupinga kila kitu hata kwa mambo mazuri wenyewe umekuwa ukipinga tu hivyo amefananisha kuwa huenda hiyo ni siasa mpya.

Maoni

ZILIZO SOMWA MARA NYINGI

ULAJI WA MARA KWA MARA WA MBEGU ZA MABOGA HUKUKINGA NA KUKUEPUSHA NA MAGONJWA 1O MWILINI MWAKO...

Dalili 6 zitakazokuonyesha kuwa mwenzi wako ana mtu mwingine katika mahusiano

FAIDA YA JUICE YA KAROTI KATIKA MWILI WA BINADAM

DAWA BORA YA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO

AINA ZA MBOLEA & MATUMIZI YAKE KITAALAM

Madhara ya Chai na Kahawa Kiafya

Fahamu Aina 7 Za Juisi Zenye Kuondoa Sumu Mwilini

Ugonjwa wa Chango La Uzazi

Madhara Ya Kuangalia Video za Porno {Ngono} na Namna ya Kujizuia

Athari za kiafya za vyakula vyenye Wanga