TAARIFA MPYA

Madhara ya Chai na Kahawa Kiafya

Picha
CAFFEINA/KAFEINA. Kafeina ni nini?: 1. Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’. Utashangaa. Habari ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina. Kafeina ni kiungo mhimu karibu katika soda zote zenye rangi nyeusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola na kadharika. Kafeina huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini. Kwahiyo Kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya. 2. Kafeina ni kikojoshi (diuretics). Kafeina ni dawa ya kukufanya ukojowe. Ukinywa kikombe kimoja cha kinywaji chenye kafeina yaani chai au kahawa, basi muda si mrefu utaenda kukojoa vikombe viwili. Kwa sababu kafeina ni taka isiyotakiwa mwilini, mwili utafanya kila uwezalo ikibidi ujikamuwe wenyewe kupata maji ya ziada kuweza kuitoa kafeina hii uliyoinywa kwa kisingizio ch...

Viwanja Vya Ndege Kusimamiwa na TANROAD

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kassim Majaliwa, amesema Serikali imeamua ujenzi wa viwanja vyote vya ndege vinavyojengwa hivi sasa vitasimamiwa na wakala wa barabara nchini Tanroads baada ya kuridhisha kuwa wakala huyo kuwa na uwezo mkubwa wa kusimamia kazi hiyo na hivyo kuipunguzia serikali gharama.

Waziri mkuu ametoa kauli hiyo mjini Musoma Mkoani Mara,baada ya kupokea taarifa za upanuzi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Musoma,kikiwa ni miongoni mwa viwanja kumi na moja vya ndege ambavyo vipo katika mchakato wa ujenzi wake.

Amesema ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Musoma kwa kiwango cha lami ni sehemu ya mkakakati wa serikali wa kuimairisha usafari wa anga hasa wakati huo wa ujenzi wa Tanzania ya viwanda lakini pia ni sehemu ya kukuza sekta ya utali nchini.

Kwa sababu hiyo Mh Majaliwa,amesema tayari wizara ya maliasili na utali imeagizwa kuanzisha mamlaka ya kuesimamia Fukwe za Bahari,Maziwa na Mito ili fukwe hizo zitumike katika kukuza sekta ya utalii nchini.

Awali meneja wa Tanroads mkoa wa Mara Mhandisi Ngaile Felix Mlima,akitoa taarifa za ujenzi wa uwanja huo kwa Waziri mkuu,amesema taratibu za kumpata mkandarasi bado zinaendelea na kwamba uwanja huo utajengwa kwa awamu ya tatu kwa kuhusisha njia ya kurukia ndege,ujenzi wa jengo kubwa la abiria na uwekaji wa taa.

Maoni

ZILIZO SOMWA MARA NYINGI

ULAJI WA MARA KWA MARA WA MBEGU ZA MABOGA HUKUKINGA NA KUKUEPUSHA NA MAGONJWA 1O MWILINI MWAKO...

Dalili 6 zitakazokuonyesha kuwa mwenzi wako ana mtu mwingine katika mahusiano

FAIDA YA JUICE YA KAROTI KATIKA MWILI WA BINADAM

DAWA BORA YA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO

AINA ZA MBOLEA & MATUMIZI YAKE KITAALAM

Madhara ya Chai na Kahawa Kiafya

Fahamu Aina 7 Za Juisi Zenye Kuondoa Sumu Mwilini

Ugonjwa wa Chango La Uzazi

Madhara Ya Kuangalia Video za Porno {Ngono} na Namna ya Kujizuia

Athari za kiafya za vyakula vyenye Wanga